Na Happiness Katabazi
NIMEMTAZAMA kupitia Televisheni ya ITV ,Mzee Edward Lowassa na kuisoma
neno kwa neno hotuba yake ya kutangaza nia leo katika Uwanja wa Sheikh
Abeid Mkoani Arusha ya kugombea urais wa serikali ya Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania nimebaini uongo wazi katika aya ya kwanza.
Haya hiyo
katika hotuba hiyo inasomeka hivi; HOTUBA YA MHESHIMIWA EDWARD
LOWASSA KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KWA AJILI YA KUTANGAZA
NIA YA KUOMBA KUTEULIWA KUWA MGOMBEA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) KWA
NAFASI YA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA).
Ukisoma
kichwa hicho cha habari cha hotuba yake kimesema ( Hotuba ya Mheshimiwa
Edward Lowassa kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari......).
Sehemu ya hiyo aya Lowassa amedanganya umma kuwa eti leo amezungumza na waandishi wa habari wakati akitangaza nia.
Ukweli ni kwamba Lowassa leo ametangaza nia mbele ya wafuasi wake
katika mkutano wa adhara ambao wanamuziki wa muziki wa kizazi
kipya,wasanii wa Kimasai wakiwa na mishale na silaha za jadi na
mwanamuziki wa muziki wa Taarabu Hadija Kopa walitumbuiza.
Binafsi ni mwandishi wa habari kwa zaidi ya miaka 15 sasa,nimeisha
shiriki mikutano mbalimbali ya waandishi wa habari na vyanzo vya
habari(source) yaani (Press Conference).
Kitaaluma mkutano wa
waandishi wa habari uhusisha waandishi wa habari na wale wanamsindikiza
mtoa habari na mkutano na waandishi wa habari katika eneo la mkutano.
Mkutano na waandishi wa habari haunaga mbwembwe ,kualika makundi ya
watu mbalimbali, wasanii,vibweka kama tulivyovishuhudia leo katika
mkutano huo ,wafuasi wako kupaza sauti kusema Lowassa Rais,wanasiasa
kupanda majukwaani kumnadi mtoa habari(Lowassa), kama ulivyoshuhudia
leo katika mkutano ile jinsi Kingunge Ngombale Mwilu, Kangi Lugola,
Mtumishi wa Mungu Josephat Gwajima, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa
Arusha,Onesmo Ole Nangolo walivyokuwa wakimpigia debe Lowassa.
Kimsingi tukubaliane Lowassa kupitia aya hiyo ya hotuba yako ya leo
amedanganya umma na amejidanganya yeye mwenyewe na kujionyesha asivyo
makini katika baadhi ya mambo.
Hata kama hiyo hotuba uliandaliwa
na waandishi wako wa hotuba unaowaamini,kama kweli wewe ni kiongozi
makini na unayetaka kuwa rais wa nchi hii kwa kila njia, ulipaswa uisome
kwanza hotuba hiyo neno na kwa dosari hii imedhirisha na wewe siyo
makini.
Hadi ulikubali kuisoma hiyo hotuba mbele ya hadhara ina
maana ulikubaliana na mambo yote yaliyoandikwa kwenye hiyo hotuba ambapo
baada ya wewe kuisoma jukwaani leo sisi wafuatiliaji wa mambo ndani ya
muda mchache tumeibaini ina kasoro hiyo ya wazi kabisa tena kwenye
kichwa cha habari.
Sasa hao waandishi wa hotuba yako
utawachukulia maamuzi magumu? Maana umekuwa ukijinasibu wewe ni kiongozi
unayeweza kuchukua maamuzi magumu kwa haraka.
Nakushauri anza
kutoa maamuzi magumu kwa hao waandishi wa hotuba yako hii ambayo ni
hotuba ya kihistoria kwani hotuba hii ni ishara ya wewe kuanza safari ya
matumaini kwenda Ikulu lakini tayari nimeibaini ina dosari hiyo.
Nyie waandishi wa hotuba ya Mzee Lowassa kuweni makini na kazi yenu, au
kama mmetumwa kumuandikia ujinga huo mzee Lowassa katika hotuba zake
ili atolewe kasoro kuwa sio makini,mseme maana waandishi wengi hivi sasa
hamuaminiki mmekuwa kama wanawake Malaya wanaouza mihili yao ambao
wana mabwana wengi ili mradi wapate fedha upitia mihili yao.
Na
hili linawezekana maana aingii akili mwandishi wa habari amuandalie
hotuba mtu anayemuunga mkono afanye kosa la kiufundi kama hili tena
katika kichwa cha habari.
Niitimishe kwa kumtaka Lowassa aache
uongo.Ule ni mkutano wa hadhara aliohutubia leo wakati akitangaza nia
na siyo mkutano wake na waandishi wa habari kama alivyodai katika hotuba
yake.
Hongera sana Mzee Lowassa kwa mkutano wako huo uliofurika
watu wengi.Ila ukumbuke msemo usemao ' Kuzikwa na watu wengi sio
kwenda Mbinguni.
Kila la kheri katika hiyo safari yako
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Tanzania
Chanzo: www.katabazihappy.blogspot.com
0716 774494
Mei 30 mwaka 2015..
0716 774494
Mei 30 mwaka 2015..
- Jimmie Sam all in all sijaona jipya hta akijaza uwanja kwa watu wa kununua,hiv urais unataftwa kw nguv hv kweli mtu ana nia njema na ya dhati kw watz?hela kias gan zmetmika ktangaza nia tu?nan atarudisha zile gharama zte anazotmia,kama c kodi zetu?chanzo cha utajir eti ng'ombe wa zawadi?kma hotuba tu kdanganya kchwa cha hbari je akiw madarakani?
- Ahmed Saadat ?????????????????
- Frederick Marwa Bwana Nakubaliana na wewe Happy.Hotuba imepwaya pia protocol haikuwepo kabisa.Hakukuwa na umakini katika hafla aliyoiandaa.Alishuka jukwaani kwenda kumpokea Mwenyekiti wa Geita aliyetua kwa helicopter as if yeye ndo mgeni lasmi.Kamaliza hotuba then anapanda ...See More
- Mwangomo Bryceson Tafuna limau
- Adams Msigwa Leo umenena...huku kwenye siasa na mahakama ndo fani yako..ila makala za migomo y wafanyabiashara tuachiw wenyewe....but leoo umenena. Uchambuzi mzurii..@happy
- Happy Katabazi Sina mimba maana nikiwaga na mimba ndio nasikia kichefuchefu natafunaga limao.
- Pius E. Bei Well traced
- Nux Van Otty Kuwa mwanasiasa Tanzania ni raha sanaaaaa.....rahisi kuwayumbisha unavyotaka....ni wachache sana wasioyumbishwa hapa nchini na mf ni Happy Katabazi...hongera sana
- Ezekiel Clement Watu kama wewe mpo sana mnaotafuta kiki .ila kelele za chura ndugu maisha yanaendelea andika makala si ndiyo kazi yako
- Rashıd Hassan Ila matangazo ya kwenye radio na runinga yalisema anatarajia kuwabutubia wafuasi wake kutoka chama cha ccm na watanzania wote kwa ujumla na dhumuni kuu ilikuwa ni kutangaza nia rasmi. Sioni kama kakosea,,,kuhusu kutumbuiza watu huwa wanafanya birthday ...See More
- Iddi Luziga Happy katabazi hujuwi kama siasa ni mchezo mchafu? Siasa ni uongo
- Happy Katabazi Luziga,minaamini siasa ni safi ila wanasiasa wengi ndio wachafu.
- Happy Katabazi Hassan mimi nimeegemea ktk documentary evidence ambayo ni speech yake.isome hiyo headline ya speech.na hayo matangazo usemayo basi yanaenda pia yanatofautiana na headline ya speech yake.
- Machao Edward naona unatafut kiki c na ww utangaze nia
- Happy Katabazi Clement , Edward acheni kubwatabwata kama bata, nimetumia authority kukosoa,na nyie kama mnakosoa makala yangu siwakatazi ,mwageni vigezo vyenu vya kupinga makala hii.msilete uchakubimbi na mwanaume hatakiwi kuwa chakubimbi na hizo comment zenu zinaonyesha uchakubimbi.Natafuta kiki kwa nani?mbona nilivyoweka hotuba ya mzee lowassa hanjasema natafuta kiki,mkomeee.
- Juma Juma MIE NAPITA
- Babu Wambura atakae pitishwa na chama ndiye huyo tutampigia kura kwisha
- Happy Katabazi Na maiti kuzikwa na watu wengi sio tiketi ya kwenda mbinguni.
- Eben-Ezery Mende Imenibidi niandike kwa kuwa na mm ni mwana taaluma ya kuandika.
Hoja ya mwana taaluma mwenzangu Happy ni nyepesi sana....See More - Bonny Kahema Haahaha sio issue sana hiyo kitu uzuri yeye sio msemaji na mtu wa propaganda kama wengine yeye ni mtendaji tunataka watendaji sio maneno mengi halafu kutenda hakuna
- Bonny Kahema Upo happy lowassa ni mtendaji sio porojo mpiga makelele siku zote anakuwa muongo na mwizi kama viongozi wako wa sasa Happy Katabazi
- Juma Juma BI HAPPY MIE NAOMBA UNIPE HIYO HOTBA YA LEO NIIPITIE NACHELEA ISIJEKUWA FIRST IN FIRST OUT(FIFO)
- Happy Katabazi Mende porojo za nini.ulichotakiwa kwanza kukiri ni kweli headline ya speech ineandikwa hivyo au laa.hilo kimekushinda.headline ya speech imeandikwa mkutano wake na waandishi wa au haijaandikwa hivyo?na ule mkutano wa arusha ni place conference au mkuta...See More
- Happy Katabazi Juma pekua ktk page yangu ya fb utaiona yote
- Juma Juma NITAPEKUA MY HAPPY
- Yeovarick Dunia Tena 75% ya waliohudhuria wamelipwa padiemu na EDO
- Yahya Msangi Happy Katabazi tafadhali! Gwajima ni mtumishi wa mungu toka lini?! Hapo tu ndik umeniudhi! Tehe! Ila umenikosha na huo msemo wa kuzikwa na watu wengi! Nadhani mashibawali yake yamesikia! Kujaza uwanja hata kina Kanda Bongoman walipokuja walijaza! Mrema enzi zake akijaza hata viwanja viwili!
- Eben-Ezery Mende Sikatai kosa soma tena hati yangu kwamba makosa ya kisarufi hayakosekani
Ww umelichukulia kama jambo kuuuubwa wakati hata ww ktk kukosoa kwako umekosea sawa sawa na unachokikosoa...See More - Happy Katabazi Ebeneza minakushauri ukalale tu maana sioni unachokijadili hapo.
- Ibrahim Julius Wewe uko kambi gani happy
- Happy Katabazi Kaka Yahya,mimi kiongozi wa kiroho wa ngazi yoyote upenda kumuita mtumishi wa mungu.
- Rashıd Hassan Me na baki katika msimamo wng jamani tunataka mtu mkali wa kuliondoa taifa hapa lilipo,rushwa ipo ,dhuruma ipo ,gap la wenye nacho na wasio nacho ni kubwa,tatizo kubwa la ajira,deni la taifa linapanda kila kukicha, wenye madaraka kujiona miungu watu na...See More
- Mapesa Zabron Ni LAST IN FIRST OUT ( LIFO)
- Mapesa Zabron MAGUFULI NDO JIBU LA WATANZANIA @RASHID
- Gregory Leanderr Dada unamsupport Wassira nini................
- Eben-Ezery Mende Nakwenda ulikonishauri niende lkn naamini umenielewa vzr
Hotuba kuandikwa kwamba atazungumza na vjana lkn akazungumza na wazee na watoto kwa ujumla wao unadhani kuna kosa gani litakaloleta madhara kwa kichwa cha hotuba kuainisha walengwa ni warika ful...See More - Iddi Mwana Kigoma Kiswahili chenyewe hujui
- Happy Katabazi Mende nenda kalale Kaka usiforce king.
- Yahya Msangi Happy Katabazi mtumishi wa mungu kwenye kampeni anatafuta nini? Kuna watu wamejipachika utumishi lakini ni wanasiasa uchwala dada! Ulimuona Pengo au Mufti Mkuu pale?
- Happy Katabazi Msangi,akatazwi kwenda kokote kutoa neno la Mungu kama alivyotambulishwa pale ila kama anakwenda kwenye mikutano hiyo kimwili badala ya kiroho basi Mungu atashughulika nae.
- Eben-Ezery Mende Ni tatizo sana kama mkosaji akikataa kukubali kukosolewa
Kiswahili twabainisha kwamba, binadamu wote tu vilihafu na kamwe hatuwezi kukosa uchafu....See More - Happy Katabazi Mende unatumia nguvu nyingi kulalama ,maneno yoteee hayo yanakutoka wewe tu.Teteeee. ulipolala ndipo nilipoamkia.Dua la Kuku halimpati mwewe.
- Rashıd Hassan Huwezi kutenganisha siasa na dini Yahya Msangi hili liko wazi hata ukiangalia enzi hizo wakati wa Roman emperor watawala walikuwa beneti na viongozi wa dini,vitabu vya dini hali kadhalika vinawatambua viongozi wa mamlaka za dunian,king suleiman ni mfano hai kabisa so tusiwapuuze wana mchango wao hao watu,
- Kevin Williams Mbogo Katika uandishi wa wa hotuba na nadharia za kisiasa zenye mashiko siku zote huwa kuna alama sita za kuzingatia ili hadhira ikuelewe.
Ikiwa Fanani amekosa alama hizo sita basi ni wazi jamii anayoihutubia itabaki na maswali mengi kuliko majibu....See More - Eben-Ezery Mende Bw. Mbogo nakukubali sana plz mrithishe na mkosoaji mtangulizi namna ya kukosoa
Huo ndio ukosoaji wa kujumlisha hekima, taaluma, elimu ya kawaida na busara ambavyo vikijumlishwa hupata jbu la mkosolewa kujirekebisha...See More - Happy Katabazi Makala yangu imekosoa sehemu ya headline tu,sijajadili para nyingine zilizopo ktk hotuba hiyo licha nimeisoma yote nasijaona haja ya kufanya hivyo kwa leo kwasababu bado ninao muda wa kufanya hivyo.
- Happy Katabazi Paschal huyu Chief Diplomat anatanga nia lini?
- Thomas Paschal Ndani ya wiki ijayo atakua kijijini kwake na wanakijiji na wazee wa kijijini kwake na marafiki zake, yeye anaenda kisomi zaidi siyo kwa mapesa ya wizi.
- Baraka Abdallah Kange 7.6.2015
- Angella Michael Simba oyeeeeee
- Happy Katabazi Paschal ,eeeh mtanipa tarehe
- Happy Katabazi Angella misijawa punguani hadi nianze kushangilia simba
- Angella Michael Happy Katabazi rangi zinazomeka.hvy simba oyeee
- Rashıd Hassan Happy Katabazi me c mwanataaluma ya habari lakini naungana na wewe kwa asilimia 100 there is no doubt that hutuba ina mapungufu kwenye head line ,lengo la mkusanyiko hule ilikuwa ni kutangaza nia basi hutuba lilitakiwa kuandaliwa kwa dhumuni hilo tu,,n...See More
- Happy Katabazi Haya ,naomba bango lake na tarehe atakayotangaza nia.mungu amtangulie Magufuli
- Geofrey Kazumba Da! yan huyu mzee ananichafua roho yangu kinoma.
- Happy Katabazi Rashid asante.ujue humu kwenye mitandao kuna baadhi ya watu ni wapuuzi hasa wenye jinsia ya kiume.mtu ukitoa post au comment ya jambo fulani iwe inapongeza au kukosoa kwa hoja dhabiti na nia ya kujenga,wapuuzi hao wenye akili nafikiri za kuvuka barabar...See More
- Happy Katabazi Kazumba nani?
- Thomas Paschal Hivi kutangaza nia ndiyo kua raisi jamani? Jina likitupwa kwenye kapu itakuwaje? Maana nimepita Kisongo na Unga Lmd ndg zangu wamasai wanaruka eti tumepata raisi!!!!!
- Geofrey Kazumba Mjomba angu,jana ndotumemzika.
- Happy Katabazi Aah,pole
- Thomas Paschal Ww Geofrey Kazumba nyosha maelezo ila pole
- Thomas Paschal Geofrey Kazumba kwa hiyo ni mzee yupi anaekuudhi?
- Geofrey Kazumba Mjomba yangu aliye fariki juzi na jana tuliziki maombolezo yanaendelea hadi kesho ndugu yangu.
- Happy Katabazi Kazumba muhuni sana
- Happy Katabazi Wassira mtani wangu kila la kheri
- Geofrey Kazumba Huyu anaetangaza nia,lowasa.
- Rashıd Hassan Nachelea sana kusema kuwa sawa nichaguo la wengi ,what if kamati ya CC na ile ya NEC wakamtoselea mbali?? Kingine Embu kwa cc tulioenda shule wakina Happy Katabazi tujaribu kuwaambia na kuwaelimisha vijana wenzetu kwamba hata lowasa au sijui membe au w...See More
- Thomas Paschal Geofrey Kazumbaaaaaaaaaaaa!!!! Waaaaapiiiiiiiii!!!!!!!
- Thomas Paschal Rashid Hasani no kweli usiopingika
- Thomas Paschal Eben-Ezery Mende wewe iliaga kwenda kulala vp tena?
- Bonny Kahema Happy Katabazi anaonekana ccm ila kuna mtu anamtaka awe raisi .....????mzalendooo wa mavazi anaye wakilisha kesho dom nn???
- Yahya Msangi Rashid Rashıd Hassan uwe unasoma historia vizuri mdogo wangu! Huko ambapo siasa na dini hazikutenganishwa serikali au utawala ulikuwa na dini rasmi ya nchi! Kwetu si hivyo! Serikali haina dini! Ndio maana leo bila kujua Lowasa amefanya waislam wengi wajiulize mara mbili! Kumbeee!
- Ally Kasembe tatizo we mdada na wenzako wengi nimegundua mnatapatapa tu alafu kwanini mjae hofu kihivyo kwani yy kawaambia ni raisi yy katangaza nia tu mbona wengi wanataraji kutangaza, sumaye anatangaza tareh 2/6/15 na wengine wengi wameshasema watatangaza nia mbona hao hamshtuki. Katabazi nilishakwambia utarudi tena kujipendekeza kwake we mwandishi uchwara tu
- Happy Katabazi Unawazimu sana we Kasembe.acha blablaa wee mtoto wa kiume utakiwi kutoa comment ambazo hata mwanamke hawezi kuzitoa.ulivyozoea kujikomba na kupakatwa na wanaume wenzio unafikiri na mimi ndio kama wewe?sipo hivyo.unachopaswa ktk mada hii kama una akili ...See More
- Happy Katabazi Nani anawakilisha mavazi dodoma keshom
- Eric Kiiza mi nilidhani unadiscredit content za hotuba yake..kumbe umeishia kwenye heading tu!!!
- Spear Patrick Kipopele Wivu huo happy. Lina kuchoma ee
- Straton Steven Bn Kitaeleweka tu.
- Emanuel Jojo Mes Acha chuki binafsi...... Huna jipya Dada.....
- Azory Yona km tatzo lpo kwenye heading kwann umtuhumu Lowasa kuwa ni muongo? ifke wakat utambue nafas yako km mwandsh ktk jamii. Km umeliona kosa ulpaswa kurekebsha mahali kosa lilipotokea na si kusema flan muongo.
- Azizi Senkondo Panapo ukweli ongea mam unajua wengi washabika na siyo waelewa
Mwandishi kakosea kuandika hutuba ya tajiri wake ule nimkutano wa hazara na siyo waandish kaongea na watanzania na si wanahabari au mim naona katabazi upo saw ila ujui kama na mashoga wapo fb wanatafuta mabaasha waambie wanarambo au - Fredrick Joseph Kyejo Wendawazimu ....twende deep
- Victor Mcharo Muache mzeee wawa tu na kampeni zake
- Joseph Lusinde Duuuuu
- Yohana Joseph Usiempenda kaja Happy Katabazi sijui itakuaje.
- Babu Wambura bala
- Edwine Edward Nyote no manyangau tu Hamna jipya mmeongwa ndoaa.a mnashabikia upuuzii,. Kwani Happy Katabazi alikuwa anamrekebisha na xio kupiga kampein kama mnavyodhan
- Arone Mpanduka Hivi dada Happy kwa mfano Lowasa akipewa ridhaa ya kugombea na baadae kushinda kiti cha Urais,sura yako utaiweka wapi?
- Muhozi Bunura mimi naogopa sana kutoa maoni japo katiba inaniruhusu lakini naona watu humu wanatoa maoni kwa chuki kabisa kiasi wakipata mwanya unaweza kulishwa sumu
- Yahya Msangi Arone Mpanduka kabla Happy Katabazi hajakujibu hebu na wewe tujibu hili: hivi Lowasa akitemwa na chama chake wewe au yeye mtaweka uso wenu wapi?
- Hans Mbwaga Duh.....
- Babu Wambura maswali yenu matamu hehehheeee safi sana tuendelee kuulizana maswali jamani
- Happy Katabazi Mpanduka kwanini mimi nimemzuia asiupate huo urais?kwanza sina hayo mamlaka.kwani lowassa ni Mungu hadi nimuogope?unawazimu sana.soma makala yangu halafu onyesha wapi nimemzuia asiwe rais?inaonyesha hujui kusoma ndio maana hujasoma hiyo makala na ukael...See More
- Arone Mpanduka Happy hapa tunaeleweshana kama wanataaluma, hayo matusi ya rejareja cjui yamekujaje
- Arone Mpanduka Chunga sana kauli zako
- Jumanne Mtazama Acha majungu happy huyo ndo,Rais wako utake usi take,tangaza na wewe basi nia ya kugombea,kila ki2 unajifanya unajua,
- Babu Wambura heheheeh nawachora tu
- Arone Mpanduka Cwez kukimbizana na chiz coz na mimi ntaonekana chiz
- Happy Katabazi Wewe ni punguani wa akili ambaye unashidwa kujadili mada unacomment pumba.hayo ni maneno ya mtu aliyeshindwa
- Mathews Maro ...tumchape makofi..
- Happy Katabazi Wambura unagombea upresidaa?lini unatangaza nia?
- Happy Katabazi Maro achana nae Mpanduka ni mtu mwepesi sana.
- Mohamed Hamza Good
































































0 comments:
Post a Comment