Muimbaji huyo ameshoot video nchini Afrika Kusini na muongozaji Meji Alabi.
Kupitia ukurasa wa Facebook, Alikiba amepost na utengenezaji wa video hiyo na kuandika:Music video shoot in South Africa at 3 degrees celsius… We keep rolling!
Muongozaji Meji Alabi akiwa kazini
Hivi karibuni mashabiki wa Alikiba walilalamika kuchelewa kwenye video ya Chekecha na kudai kuwa anawaangusha.
V
0 comments:
Post a Comment