Saturday, June 13, 2015


Muungano wa vyama vya upinzani umedhihirisha hauna jipya na ni waroho wa madaraka,Kwakumteua Profesa Ibrahimu Lipumba kuwania nafasi hiyo.Lipumba ameshatangaza nia zaidi ya mara tano Tanzania bila mafanikio.Upande wa Zanzibar makamu wa rais Seif Hamad nimgombea urais.Picha kamili hawana viongozi wapya au muungano ulikua wa bahati mbaya.Pili siku ya kutangaza nia Seif Hamadi waislam pekee walisoma dua saba bila hata dini nyingine kupewa nafasi Ukawa haina wakristu.Dini nikitu cha msingi sana na kina nafasi kubwa, Muungano nguvu yake iko wapi kushindana na mahasimu wao.Au uchaguzi mkuu wanashindana CCM wenyewe.


0 comments:

Post a Comment