Sunday, June 21, 2015

 



Amber Rose ambaye ni mke wa rapper Weezy Khalifa siku za hivi karibuni ametia fora baada ya kuvaa kivazi cha ajabu ambacho kinaacha sehemu kubwa ya mwili wake wazi kwenye eventya MTV VMAs iliyofanyika kule Inglewood Sunda,Mashabiki wa mwanamama huyo wameoneka kushangwaza na kitendo cha mama huyo kuvaa kivazi hicho huku akipiga picha kwenye red Capert na watu mbalimbali,picha zingine ziko chini hapa.....



 


 


 


0 comments:

Post a Comment