Saturday, June 6, 2015

Binti mkazi wa hapa nchini ashambuliwa na watu wengi mara baada ya kuvaa nguo fupi ambayo iliwakera sana vijana waliokuwa maeneo hayo staarabu, mara baada ya tukio hilo walinzi kadhaa waliweza kwenda kumuokoa huyu binti maana vijana hawa walitaka kumvua nguo zote

0 comments:

Post a Comment