Friday, June 12, 2015

January Makamba akiwa mkoani Iringa leo amekusanya wadhamini saini 680 nakuzidi 30.Tanzania mpya kesho atakua mkoani Ruvuma akiendelea kuwatafuta wadhamini.


Muheshimiwa Bernard Membe akiwa Mkoani Mbeya akizidi kumwaga cheche zake na kusaka wadhamini apewe nafasi ya kwenda jumba jeupi pembeni ya bahari.Amepata wadhamini 671 anaelekea mkoani Iringa na Njombe.


Mzee wa safari ya matumaini akiwa mkoani Singida akisaka wadhamini.Chini muheshimiwa naibu waziri Masele akimpigia upatu Edward Lowasa kupata wadhamini.


0 comments:

Post a Comment