Wachekeshaji nguli nchini Joti,Mpoki na Masanja Mkandamizaji wametoka mbali kwenye sanaa hiyo wakiwa maisha yamewapausha balaa hadi leo wanatembelea magari na maisha mazuri.Mpoki akiwa hana hata kitambi maisha yakiwa bado magumu,Masanja sura ikiwa bado haijapata utanashati wa mashavu ya mitonyo ya uchungaji na uchekeshaji,Joti pekee aliyedumu na muonekano wake hadi leo.
Sunday, June 28, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

hawa si issue kutokana na alama za nyakati. wanafanana na kuhubiri injili kwa sasa. Sio deal tena.
ReplyDelete