Sunday, June 28, 2015

Habari ya kimaendeleo kuhusu tekinologia ambapo watu bilioni sita watamiliki smart phone.Habari zitaweza kuenea kwa kasi zaidi citizen jounalism kama afanyayo huyo dada hapo juu itaongezeka kwa kasi,kila mtu atakuwa mwandishi wa habari tatizo kwa watoto wetu kuweza kuchuja mambo wananchi watatakuwa hawadanganywi tena na wanasiasa wenye ahadi hewa za kimaendeleo.

0 comments:

Post a Comment