
Association moja iitwayo CEORT imeandaa mdahalo wa wagombea Urais
kupitia chama cha mapinduzi ambao utafanyika tar08/06 yani Jtatu,;hata
hivyo mmoja kati ya waandaaji ambaye ni Mr. Ali Mufuruki, amesema
Lowassa amekataa pamoja na kumweleza kwamba mdahalo utalenga masuala ya
kiuchumi ya taifa na sio personal attack, Mzee kakataa.


0 comments:
Post a Comment