Staa
wa Bongo Movies, Wema Sepetu ambaye ametangaza nia ya kugombea nafasi
ya ubunge wa viti maalumu Singida,amesema anafurahishwa na kitendo cha
mashabiki wake kumwigiza sauti akiwa bungeni kwa kuwa wameonyesha
kumkubali kabla hajafika ‘Mjengoni’.
Alisema sauti hiyo inayomuigiza
alitumiwa kupitia simu yake na haikumkwaza zaidi ya kufurahia kwamba
watu wengi wanakubali awe bungeni.
0 comments:
Post a Comment