Monday, June 1, 2015

Na Mwandishi maalum:-Habari kubwa mjini Dar kwa chini chini sasa hivi ni Mlimbwende Wema Sepetu kutangaza nia ya kugombea ubunge wa Singida, habari hizi zinasema Wema alikwenda huko hivi karibuni na siku za karibuni amekuwa akijitahidi sana kuvaa nguo za kiheshima sana kwenye kujitayarisha na kutangaza kwake nia hivi karibuni. Tayari wapambe wake wa Instagram wameanza kuteta kwa mafumbo mafumbo kuhusu habari hizi lakini hiki ndicho wasochotaka kukisema hadharani kwamba Wema Sepetu atagombea ubunge Singida uchaguzi wa mwaka huu.




Source:- JF

0 comments:

Post a Comment