Ya Moto Band baada yakulipiwa video na Diamond Platnum kwa mtayarishaji wa video God Father nchini South Africa tayari wameshamaliza kuitengeneza na wako njiani kurudi Tanzania.Huu ni mwanzo wa vijana hao kwenda kimataifa na kuleta ushindani nje ya nchi.
0 comments:
Post a Comment