Monday, July 13, 2015


 Rapper kutoka nchini Marekani 50 Cent anakabiliwa na kesi ya kuvujisha mkanda wa ngono wa aliyekuwa mpenzi wa Rick Ross nakuzaanae mtoto mmoja anayefahamika kwa jina la Lestonia Leviston.Kosa analokabiliwa nalo ni kuingilia uhuru wa mwanamke huyo ambapo amejitetea alipewa na boyfriend wa mwanadada huyo.Lengo la kuvujisha mkanda huo mwaka 2009 nikumuumiza rapa Rick Ross,Inampasa kumlipa dola million tano itakayopelekea kufirisika kwa utajiri wake.

0 comments:

Post a Comment