Wednesday, July 29, 2015

Taswira baada ya ajali hiyo.
WATU wanne wanasadikiwa kupoteza maisha baada ya Basi la Kampuni ya Sabuni Express linalofanya safari zake kati ya Karagwe na Mwanza kugongana uso kwa uso na gari ndogo aina ya Toyota Land Cruiser iliyokuwa imebeba masista ikitokea Bukoba Mjini kuelekea Mutukura.
Miili baada ya ajali hiyo.
Ajali hiyo imetokea leo Jumanne katika Kata ya Bugorora, Wilaya ya Bukoba Vijijini mkoani Kagera.

0 comments:

Post a Comment