Joshua Nassari mbunge wa Chadema kutoka Arusha mashariki amedai hata yeye amesikia hivyo ajali yake na helikopta inausishwa na imani za kishirikina.Mbunge huyo ni mtoto wa mchungaji mwenye imani na Mungu hivyo ahamini kuhusu uchawi kuhusishwa na ajali hiyo.Ingawa hadi sasa haijabainishwa sababu za msingi zilizopelekea itirafu nakupelekea ajali.
Friday, July 10, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

Pole Nassari Mungu akuponye... Ila kwa kusema walokole hatuamini uchawi kama upo si kweli kabisaa... yaanu tunaamini upo saana tu na adui mkubwa wa mlokole ni mchawi + pepo mchafu au jini.. na ndo tunapambana nazo vibaya sana.. ila sisi ni washindi kwa jina la Yesu.
ReplyDeleteNa Mungu anasema usimuache mchawi aishi... (maana atakumaliza huyo hii nimesema mimi.)