Ali
Kiba amefunguka hayo kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM na B Dozen
alipokuwa akifanya mahojiano maalum,alisema kuwa ana washangaa sana
baadhi ya mashabiki wanasema kuwa hatoi sapoti kwa baadhi ya wasanii
lakini yeye wakati anatoa kava za video yake ya Cheketua aliwatumia
baadhi ya wasanii,ambao wapo walipost kwenye akaunti zao za Instagram
lakini wengine hawakufanya hivyo lakini hajalalamika.
‘’Kwanza
niseme kuwa sina bifu na Diamond na hajanitumia picha nipost kwenye
akaunti yangu ya Instagram kama angenitumia ningepost kwani sina tatizo
naye,’alisema Ali Kiba.

0 comments:
Post a Comment