Sunday, July 19, 2015


Ikiwa ya mepita masaa 22 toka Diamond Platnum kupokea tunzo ya mtumbuizaji bora hajapata hongera toka kwa Ommy Dimpoz wala Ali Kiba kwa kupeperusha bendera ya Tanzania vilivyo.Toka mchakato wa upigaji kura hadi kupata tunzo hakuna aliyeonesha ushirikiano kati yao.





0 comments:

Post a Comment