Msanii wa bongo fleva Ommy Dimpoz amesema kupitia
Friday Night Live kuwa hana tatizo na Ali kiba na kwamba ata yeye
alivyokuwa na show zake Zanzibar, Ali Kiba alifahamisha mashabiki wake
kupitia Instagram na alifanya hivyo bila kuombwa.
Ali
Kiba ndio msanii aliyefanya wimbo wa kwanza wa Ommy Dimpoz ‘Nai Nai’ na
kuufanya wimbo huo kuwa mkubwa hapa Bongo na nje ya bongo pia.
0 comments:
Post a Comment