
John Magufuri akiwa na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Geita anayeitwa Joseph Kasheku ‘Msukuma’ aliyekuwa manager wa Lowasa ndani ya ukumbi wa Mkutano Mkuu wa CCM.

Wafanyakazi wa Usalama wa Taifa wakimzunguka Magufuli kabla ya kutangazwa kuwa mshindi wa kura za kugombea Urais.

Picha inayoonyesha baadhi ya wenyeviti wa CCM wa mikoa mbali mbali walioambatana na Lowassa kwenda Makao Makuu ya CCM-Dodoma kurudisha fomu zake za ugombea Urais wa Tanzania. Mwenyekiti Joseph Kasheku 'Msukuma' (Geita) Mwenyekiti Bwarafia Silima (Unguja) Mwenyekiti Jesca Msambatavangu (Iringa) Mwenyekiti Madabida Madabida (Dar es Salaam), Mwenyekiti Hamisi Mgeja (Shinyanga), Mwenyekiti Msindai (Singida), Mwenyekiti Odo (Ruvuma), Mwenyekiti Sinani (Mtwara), Mwenyekiti Sanya (Mara), Mwenyekiti Mlao (Pwani), Mwenyekiti Kabouru (Kigoma) na Wenyeviti 3 (Pemba na Unguja).
0 comments:
Post a Comment