Thursday, July 9, 2015

Baada ya rais Kikwete kulivunja bunge anatakwenda kuongoza kikao cha kamati kuu,ambacho kitatangaza rasmi majina matano,ambayo yatapelekwa halmashauri kuu ambayo hiyo kesho nayo itateua majina matatu yatakaokwenda kwenye mkutano mkuu siku ya jumamosi!mpaka kufika leo usiku,top five itakuwa wazi.

0 comments:

Post a Comment