Wednesday, July 1, 2015

Baba Levo mwanamuziki mchekeshaji na juhudi kwenye muziki ametoa yake ya moyoni kwa mtangazaji wa Clouds fm Dj fetty na kusifia uzuri wa mwanadada huyo bila haiba wala kificho.Ingawa kiukweli mwanadada huyo ni mrembo haswa Baba levo ni msanii wa pekee kuweka wazi sifa hizo toka moyoni mwake.


0 comments:

Post a Comment