Friday, July 17, 2015


Mwanamuziki wa muziki wa bendi Ramadhan Masanja maarufu kama ‘Banza stone’ amefariki dunia nyumbani kwao hivi punde baada ya kuugua kwa muda mrefu.
R.I.P Banza Stone

0 comments:

Post a Comment