Tuesday, July 7, 2015


Leo ikiwa ni siku ya mfanano wa kuzaliwa wa msanii Diamond Platnum hadi sasa msanii huyo ajasema chochote.Baunsa wake Diamond anayejulikana kwa jina la Mwarabu fighter na kaka yake Rommy Jons wameshafanya hivyo.Miaka ya nyuma kila siku kama ya leo msanii huyo alikuwa akimnunulia gari mama yake huyo kipenzi,Hatujui leo atapewa zawadi ipi kubwa zaidi.

0 comments:

Post a Comment