Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bellenego muziki umebadilisha maisha yake kwa asilimia mia,Kabla ya muziki alipitia maisha ya kuuza biashara ndogo ndogo na kufanya vibarua kwenye viwanda ikiwemo cha tumbaku mjini Morogoro.Leo ukimwona unaweza kusema ni mtoto wa kigogo flani kweli pesa haimkatai mtu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment