Monday, July 20, 2015


Hata siku Haijaisha toka Diamond Platnumz Apate Tuzo ya MTV Mama, Mchana wa leo Ametibua Mashabiki wake Baada ya Kupost Video ya Mpenzi wake wa Zamani Joketi Akicheza Moja ya Nyimbo zake huku akiandika caption ya Maneno haya 'Mbona Bado, Mtanyooka tu"
Video Hiyo inasemekana ilirekodiwa na Bikira wa Kisukuma Aka Seth miezi sita iliyopita na leo Diamond kaipost kama Dongo kwa Jokate ambae siku za karibuni ameonyesha Kumsupport Ali Kiba... 

0 comments:

Post a Comment