Wimbi la wasanii wa filamu kujitosa kwenye kuwania nafasi za siasa limeongezeka kwa kasi.Maamuzi haya magumu na yenye tija yangefanywa kwenye upande wa tasnia ya filamu kutoa kazi nzuri na mfululizo hadi kwa wale ambao hawajategemewa tasnia hiyo isingekamatika hakika.
0 comments:
Post a Comment