Thursday, July 9, 2015



Katika bunge linaloendelea waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania amesema katika kipindi hiki cha 2010-15 na hasa hivi karibuni, Rais ameridhia kuanzishwa kwa mkoa mpya wa Songwe na wilaya za;



Tanganyika, Katavi

Ubungo, Dar es Salaam

Kigamboni, Dar es Salaam

Songwe, Mbeya

Kibiti na Malinyi.

Halmashauri za wilaya ni 25 zikiwemo;

Buchosha,

Malinyi,

Madaba,

Manyoni Mpimbwe,

Msimbo,

Mlele,

Kakonko,

Kyerwa,

Uvinza,

Chemba,

Nyang'alwe Busega,

Itilima na Ikungi.

Halmashauri za manispaa ni pamoja na;

Chalinze,

Ifakara,

Newala,

Mbulu,

Mbinga,

Nzega

Geita

Kasulu

Ilemela na Kahama

Pia tarafa tano zimeanzishwa.

0 comments:

Post a Comment