Thursday, July 9, 2015


Katika hali isyokuwa ya kawaida leo Bunge limelipuka kwa furaha kubwa sana pale Rais JK aliyekuwa analiaga na kulivunja bunge alipomtaja mgombea wa sasa wa Urais Waziri Mkuu mstaafu Lowasa,
hali hiyo imewaacha watabiri wa siasa nchini kubaki solemba na kinachokuja kwenye mchujo wa wagombea huko ndani ya CCM Dodoma sasa hivi.



0 comments:

Post a Comment