Kama hii stori ilikupita niliiweka kwenye post zilizopita hapa ambapo kwa ufupi ni kwamba Baraza la sanaa Tanzania BASATA limemfungia
msanii wa bongofleva Shilole kutojihusisha na kazi yeyote ya mziki kwa
mwaka mmoja kutokana na madai ya kuidhalilisha sanaa na Tanzania pale
alipopanda jukwaani nchini Ubelgiji na nguo yake kuachia na maziwa yake kuonekana.Usiku wa July 30 2015 ilimtafuta Shilole na kuongea nae kwa dakika 9 za machungu yake na video yenyewe ndio
alipopanda jukwaani nchini Ubelgiji na nguo yake kuachia na maziwa yake kuonekana.Usiku wa July 30 2015 ilimtafuta Shilole na kuongea nae kwa dakika 9 za machungu yake na video yenyewe ndio
0 comments:
Post a Comment