Posted by Williammalecela.com on Thursday, July 16, 2015
Muheshimiwa
Edward Lowasa ametua jimboni kwake Monduli kujiandikisha kupiga
kura,Ukimya wake ni sintofahamu nzito kwa watanzania,Japo upepo wa siasa
waonesha kuna uwezekano wa kufanya maamuzi magumu na kuendeleza safari
ya matumaini.
0 comments:
Post a Comment