RAIS JAKAYA KIKWETE HAMSAIDIA KU RETWEET POST ZAKE.
Alikuwa ni mgombea pekee asiyekuwepo kwenye mitandao ya kijamii.Ana post tano izo hapo chini,follower 3962 na following 10 wakiwepo wagombea wenzake Bernard Membe,January Makamba na David Nyarandu.
Nasema haya kutoka moyoni, nasema haya kwa dhati kabisa. Nawahakikishia nitakuwa nanyi, nitakuwa mtumishi wenu kweli kweli. - JPM
Sasa ni wakati wa ndugu zangu watia nia wote 37, kuungana kupeperusha bendera ya Chama, kushinda kwa kishindo & kuwatumikia wananchi. - JPM
Idadi ya kura za Wajumbe katika kunipitisha kuwa Mgombea Urais ni uthibitisho wazi kwamba CCM ni moja, na wana CCM ni wamoja. - JPM
Nitumeni, nami nitawatumikia. Nakishukuru Chama Cha Mapinduzi, kwamba kimekubali kunituma kuomba ridhaa ya kuwatumikia Watanzania. - JPM
Nimepewa heshima kubwa sana na dhahiri. Naahidi kuilipa heshima hii kwa kuinadi na kuitekeleza Ilani ya CCM katika kujenga Taifa letu. - JPM

0 comments:
Post a Comment