Posted by Williammalecela.com on Saturday, July 04, 2015
Muonekano wa wanachama hao wa CUF waliopigwa risasi.
Wanachama wawili wa CUF wamepigwa risasi na watu waliofunika nyuso zao
mchana wa leo wakati wa kuandikisha kupiga kura Makunduchi, Zanzibar,
wamelazwa Hospitali ya Arahma.
0 comments:
Post a Comment