Thursday, July 30, 2015

Name:  Lowassa1.jpg
Views: 2399
Size:  122.3 KB
Mhe. Edward Lowassa akiwasili makao makuu ya Chadema Kinondoni jijini Dar es salaam leo Alhamisi 30 Julai 2015, Kwa ajili ya kuchukua fomu 

Name:  lowassa2.jpg
Views: 2382
Size:  76.7 KB
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe (Wa kwanza kushoto) akizungumza na Edward Lowassa na mke wake Regina Lowassa (wa kwanza kulia) alipowasili katika ofisi za Chadema makao makuu kwa ajili ya kuchukua fomu, (Wa pili kushoto) ni naibu katibu mkuu Zanzibar Salum Mwalimu

Name:  11059601_385091355016802_8885760366441846382_n.jpg
Views: 2392
Size:  76.6 KB

Mwanasheria mkuu wa Chadema Mhe. Tundu Lissu akiongea katika ghafla fupi ya Mhe.Edward Lowassa akichukua fomu katika ofisi za Chadema makao makuu jijini Dar e salaam

Name:  Mbowe Lowassa.jpg
Views: 853
Size:  93.8 KB

Mwenyekiti wa Chadema (Kushoto) Mhe. Mbowe, na Mhe. Edward Lowassa (katikati) wakati wa zoezi la kuchukua fomu lililofanyika makao makuu ya Chadema

0 comments:

Post a Comment