Posted by Williammalecela.com on Friday, July 31, 2015
Waziri Mkuu Mstaafu na Mwanachama Mpya wa CHADEMA Mh Edward Lowassa Jana alichukua Fomu za Kuomba Uteuzi wa Kupeperusha Bendera ya Chadema kupitia
Chadema Kwenye Uchaguzi Mkuu Mwaka huu kwa Ngani ya URAIS,Mara Baada ya Kuchukua Fomu Mh Lowassa Ameandika Ujumbe Mzito kwenda kwa Watanzania
0 comments:
Post a Comment