Thursday, July 23, 2015

Basi la Simiyu Express likiwa eneo la tukio 
Taarifa kutoka mkoani Dodoma zinasema basi la Simiyu Express Lililokuwa likitokea mkoani Simiyu kuelekea jijini D ar es salaam limeacha njia mara
baada ya kupasuka tairi na kuacha njia na kugonga mbuyu na kisha kupinduka.

Ajali hiyo ni mbaya sana Imetokea  Dodoma.  

0 comments:

Post a Comment