Posted by Williammalecela.com on Monday, July 06, 2015
 |
"Zinazowafikia hivipunde Mramba na YONA JELA MIAKA MITATU.MGONJA HURU USWAZI"
|
 |
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kwenda jela miaka mitatu
waliowahi kuwa mawaziri ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao
ni Basil
Mramba aliyekuwa waziri wa Fedha na Daniel Yona aliyekuwa waziri wa
Nishati na Madini kwa matumizi mabaya ya madaraka kuisababishia serikali
hasara ya shilingi bilioni 11.7
Hata hivyo aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha,Gray Mgonja ameachiwa huru baada ya kukutwa hana hatia.
Chanzo: ITV & Radio One.
|
0 comments:
Post a Comment