Christian Bella ambaye amedhamiria kuuteka mziki wa bongo fleva Tanzani amejifua vilivyo na kupiga collabo za kutosha na wasanii kama Ali Kiba,Weusi na Q Chilla huku wawili kati yao akiwatumia kama ngazi ya kumfunika Diamond Platnum kwakuwa hawapatani naye.Hivi majuzi alidai angepata uongozi kama wa Diamond angekua mbali kwakudhihirisha msemo wake huo wakutaka mafaniki zaidi ya Chibu ameanza mikakati rasmi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment