Monday, July 6, 2015

Bi hindu muigizaji wa kikundi cha kaole ameteuliwa kuwa mjumbe wa baraza kuu la timu ya simba.Timu hiyo yenye idadi kubwa ya wazee wa fitna wasio na mbinu mpya ya kuendeleza club na kung'ang'ania vyeo.Wingi wa wazee hao nikupeana ulaji wakati maendeleo ya timu kiuchumi na uongozi yanasuasua.Klabu hiyo kongwe na nyenye historia ndefu haina hata kiwanja binfsi.

0 comments:

Post a Comment