Monday, July 13, 2015

Diamond Platnumz anatamani watu waelewe jinsi anavyompenda mpenzi wake Zari Tlale aka The Bosslady.Wawili hao wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza mwezi ujao.
Hitmaker huyo wa ‘Nana’ amepost picha kwenye Instagram inayomuonesha akilibusu tumbo la mpenzi wake huyo na kuandika, “I wish you can understand how Much i Love this Woman… Thanks God for the life have always prayed for.  


0 comments:

Post a Comment