Wednesday, July 8, 2015

Bifu kati ya msanii Diamond na mmiliki wa studio ya AM record Maneke wamelimaliza rasmi nakufanya kazi mpya.Bifu hilo lilizaliwa miaka miwili nyuma sababu nikuvujishwa nyimbo ya ukimwona.Nyimbo hiyo mpya anamshirikisha Ney wa Mitego.Mwezi wa ramadhan na neema zake.

0 comments:

Post a Comment