Wizkid kamchomolea kaka kupokea salamu yake kajikuta Mabaunsa wanamzuia akae mbali ila hicho ni kipimo to cha udogo bado hajakua Masiki roho yake Kioo kimemcheza ila tunajua mengi tu ya aibu tunamstiri mtu vile bado dogo maana pia Kutumia ID insta zaidi ya 30 utukane watu pia ni udogo unaweka wazi huna watu wa ukweli wote wakukodi mwisho wa siku chenga tu
Waulizeni wakuu wa Muziki mm ni nani Naheshma yangu ni Ipi Natamani Km @Officialalikiba kuimba na R kelly wala sitamani kuimba na Wanageria kamwe afadhali ata ya #YondoSiterananivutia au Kandabongoman maana km nikiamua naimba nao tu Conection za kijinga izo ninazo km milioni thamani ya Msanii ipo mikononi mwa Raia wema imeandikwa #Watashindana ila #Hawatashinda na mkae mkijua ni bora uongopee watu kuliko kuongopea nafsi yk Matamasha tunayolipwa wao Wanaomba bure pia Wanakosa Karibuni tamasha la #Ziff
Halafu lazima mujue mm hamu yngu ni nini ktk huu muziki pia utofauti wa muziki pia nikieka kitu angalieni naongelea nini sio napost kitu mnahusisha na mambo yenu binafsi ili mzalishe upuuzi mpate ya kusema km mkiona hamna la kusema ni kheir mkae kimnya tu maana ntazipata shari kuu

Yaani seielewi kitu.....kwani kuna tatizo gani limetokea?
ReplyDelete