Posted by Williammalecela.com on Thursday, July 09, 2015
Nasibu Abdul ‘Diamond akiwa na Zari.
OHOOO!
Wakati penzi lao likitarajia matunda ya kupata kijacho miezi kadhaa
ijayo, uhusiano wa Nasibu Abdul ‘Diamond na staa wa Uganda, Zarinah
Hassan ‘Zari The Boss Lady’ umedaiwa kutibuka baada ya Diamond kufunguka
kuwa anampenda mwigizaji wa Nigeria, Omotola Jalade Ekeinde, Amani
linakupa mchapo.

Mkali
wa Bongo fleva Nasibu Abdul ‘Diamond.Diamond aliitoa kauli hiyo hivi
karibuni jijini Lagos alipokuwa akihojiwa redioni ambapo alipoulizwa ni
wasanii gani maarufu anavutiwa nao kimapenzi, bila hiyana, mkali huyo
kutoka Tandale-Dar, alisema ni Omotola, Tonto Dikeh na Genevieve Nnaji.
BONYEZA HAPA KUJUA KISA CHOTE
0 comments:
Post a Comment