Saturday, July 4, 2015

Samira na Saida ni watoto wa mtangazaji Dida Shaibu na msanii Madee Ali wanaosoma shule moja.Leo Madee amewatembele na kuonesha upendo kwa wote kama mzazi.Hii ni ishara nzuri kwa mtoto huyo wa Dida kupata care ya upande wa baba ingawa uhusiani wa mtangazaji na msanii huyo haujawekwa wazi.


0 comments:

Post a Comment