Wednesday, July 1, 2015

Baada ya wagombea kutimiza masharti na vigezo vya kukusanya sahihi za wadhamini mikoa zaidi ya 20,Sasa wameanza kurudisha fomu hizo kwa kasi ili mchakato kuanza wa kuchuja wenye kustahili kupita.Mele Ntuli Malecela na Benard Membe ni kati ya wagombea waliorudisha fomu leo.Huku wengine wakiwa njiani kurudisha fomu hizo Dodoma hapo kesho.





0 comments:

Post a Comment