MTOTO
mzuri ndani ya anga la Bongo Fleva, Esterlinah Sanga ‘Linnah’ amezua
gumzo la aina yake baada ya kutupia picha yake mtandaoni akiwa ametinga
mavazi mafupi yaliyoacha sehemu kubwa ya mwili wake ikiwa wazi.
Mtoto
mzuri ndani ya anga la Bongo Fleva, Esterlinah Sanga ‘Linnah’.Linnah
alitupia picha hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram hivi karibuni na
kuwafanya watu wengi wanaotumia mtandao huo kusambaziana picha hivyo
huku kila mmoja akiibua maswali yake.Haya ni baadhi ya maoni ya watu
tofauti kuhusiana na picha hiyo: ‘Mh! Hii amezidisha sasa Linnah
jamani’, ‘amependeza msimfanyie hivyo mtoto wa watu’, ‘mzuri ni mzuri tu
hata avae gunia, big up Linnah’
Friday, July 24, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment