LEMUTUZ

Sunday, July 5, 2015

HAWA WAMAMA WANAFUNDISHA NINI WATOTO WAO?

Posted by Williammalecela.com on Sunday, July 05, 2015
  


Miongoni mwa wadada wengi siku hizi wanapokuwa katika kumbi za starehe ufanya mambo ya ajabu kupita maelezo, aidha kwa kuvaa nguo ambazo zinaonesha maungo yao au ata kujifunua makusudi na wakati mwingine ata kukaa vibaya mbele za macho ya watu. Mi naamini kila jambo lina makusudio yake uenda makusudio yao ni kupata wanaume kiuraisi nikiwa na maana kuwa wanajiuza kwa sababu kama mtu unajiheshimu uwezi kuonesha nyeti zako kwa watu. Wengine wanafanya vituko wakiwa wamelewa je ni kweli pombe ndiyo imewapelekea wayafanye hao? Kama ni pombe mbona watu wengine wanakunywa na hawafanyi mambo kama haya?! Jamaani si kila mlango uliofungwa sharti ubishe hodi uenda kukawa hakuna mtu ndani, yani namaanisha wadada wanaovaa nguo ambazo zinawaonesha sehemu zao za siri inawezekana hawana wapenzi na kama wanao wapenzi basi ni mapunguani kama wao. Sina mengi ya kuzungumzia machafuko ya macho ila unaweza kupata maana nyingi kwa kuangalia picha hapo juu.
Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

TOTAL PAGEVIEWS

Popular Posts

  • LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
  • BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
  • THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
  • IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
  • PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
Copyright © LEMUTUZ

Developed by MKCT