Friday, July 3, 2015

Star kutoka nchini Kenya mwenye vituko mbalimbali Huddah Monroe amedhihilisha akili yake kupinda baada ya kuacha sehemu yake ya juu wazi.Ustar wake ulianza baada ya kuanza kushiriki shindano la Big brother Africa.Kwa sasa haifahamiki shuhuli yake ya msingi inayomwingizia kipato ni ipi bali anaonekana akizunguka nchi mbalimbali akiponda raha bata 24-7.

0 comments:

Post a Comment