Thursday, July 2, 2015


Rais Mugabe wa Zimbabwe amepinga hatua ya Mahakama Kuu Nchini Marekani kuhalalisha ndoa za jinsia moja katika Majimbo yote 50 ya Taifa hilo.

-Katika kipindi chake cha Radio kila wiki, amekejeli kuwa ataenda kwenye Ikulu ya Marekani na kumposa Rais Barack Obama.

0 comments:

Post a Comment