Monday, July 13, 2015

El Chapo jambazi muendesha magenge ya uuzaji dawa za kulevya nchini Mexico ametoloka jela baada ya kupita kwenye bomba lenye urefu wa kilomita moja na nusu.Bafu lake kwenye chumba alichokuwa amefungiwa limeungana na bomba hilo hadi,sasa hajulikani alipo.

0 comments:

Post a Comment