Wednesday, July 1, 2015


James Mbatia mbunge wa kuteuliwa anaye limendea jimbo la Vunjo la muheshimiwa Augustino Lwatonga Mrema ameenda kujiandikisha kupiga kura jimboni humo kwa dhumuni la kuanza safari ya kuchukua jimbo hilo.Mrema amekuwa akilalamika mara kwa mara wanamuingilia jimboni kwake na Mbatia amemlea yeye kwenye siasa inamuuma kuvamiwa watu wa Vunjo bado wanamuitaji yeye.


0 comments:

Post a Comment